Soma Biblia Kila Siku 04/2025Sample

“Mafuta” ya wanyama yaliangaliwa kama sehemu nzuri sana ya sadaka. Yaliwekwa wakfu na Mungu pamoja na damu ya mnyama inayoathiria kifo chake, ili vitumike kwa ajili ya kazi ya upatanisho. Kumbuka Law 1-5 inavyokaza kwamba jambo kuu ni kuoshwa dhambi kwa njia ya kutolewa kwa damu ili tuwe na uhusiano wa kweli na Muumba wetu. Hivyo tunaelewa hukumu kali ya mtu kukataliwa mbali na watu wa Mungu kama akila mafuta au damu. M.28-36 inaonyesha jinsi Mungu anavyowapa wanaomtumikia riziki yao ya kila siku (ni vizuri kuirudia mistari).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 04/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Aprili pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Walawi, Luka na 2 Petro. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

The Holy Spirit: God Among Us

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

You Say You Believe, but Do You Obey?

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

The Bible in a Month

Sharing Your Faith in the Workplace

Everyday Prayers for Christmas

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen
