Soma Biblia Kila Siku 04/2025Sample

Nafasi ya Haruni na wanawe haikuwa nyepesi. Walitakiwa kuwawekea watu uzima na mauti, na baraka na laana. Wamtumikie Mungu kwa moyo, akili na mwili wao wote. Hivyo damu ya kondoo wa kuwaweka wakfu ilitiwa kwenye sikio ili lisikie Neno la Mungu, kwenye mkono ili ufanye matendo ya Mungu, na kwenye mguu ili uende katika njia ya Mungu. Kulia ni upande wa heshima. Tena ilibidi wakae siku saba kuandaliwa kipekee. Inatuonyesha kuwa kuitwa kwa kazi ya Mungu si jambo dogo; inatakiwa ukae karibu na Mungu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 04/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Aprili pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Walawi, Luka na 2 Petro. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

The Holy Spirit: God Among Us

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

The Bible in a Month

Everyday Prayers for Christmas

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

Reimagine Influence Through the Life of Lydia
