YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 02/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 02/2024

DAY 14 OF 29

Mungu ameagiza binadamu apumzike kufanya kazi kila baada ya siku sita. Vivyo na uumbaji mwingine kama wanyama na mashamba, unaamriwa upumzishwe. Mashamba yapumzishwe kila mwaka wa saba. Tendo hili huitwa Jubilii. Ni mpango wa Mungu ili kuutunza na kuuhifadhi uumbaji wake. Kupumzisha uumbaji hupaswa kuambatane na ibada ya shukrani yenye kumtolea Mungu mavuno ya mazao mbalimbali. Je unafuata na kutekeleza vema agizo la Mungu la kupumzika na kupumzisha? Mashamba na wanyama wanapata haki hii?

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/2024

Soma Biblia Kila Siku 02/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka. Karibu kujiunga na mpango huu

More