Soma Biblia Kila Siku Julai/2022Sample

Katika 7:14 Mungu alisema, Nitawatawanya kwa upepo wa kisulisuli, katikati ya mataifa yote wasiowajua. Basi hivyo ndivyo ilivyokuwa ukiwa nchi baada yao, hata hapakuwa na mtu aliyepita kati yake, wala aliyerudi; maana waliifanya nchi iliyopendeza sana kuwa ukiwa. Ukiwa huu wa nchi utawezaje kubadilika hadi Yerusalemu kujaa amani, wazee kuvinjari katika makao ya Mungu, na vijana kucheza kwa furaha katika njia zake? Wivu wa Bwana utalifanya! Haya yote yatawezekana kwa kuwa Bwana asema hivi, Mimi nimerudi Sayuni, nami nitakaa katikati ya Yerusalemu (m.3). Wivu wa Mungu ni upendo wake kwa watu wake na uaminifu wake kwa agano alilolifanya nao. Badala ya kujazwa laana, mji utarushiwa utakatifu. Wokovu upo. Hakika Mungu ni “Imanueli”, Mungu pamoja nasi.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Julai pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Zakaria na Luka. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure
More
Related Plans

16 Characteristics of the God-Kind of Love - 1 Corinthians 13:4-8

Faith @ Work

Living Like Jesus in a Broken World

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Overcoming the Trap of Self-Pity

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

Faith in Trials!

Drive Time Devotions - Philippians
