Soma Biblia Kila Siku 07/2020Sample

Yesu anatufundisha kwamba watu hupokea neno la Mungu kwa njia nne tofauti. Kati ya njia hizi nne ni njia moja tu inayofaa. Bila shaka tunajiuliza, Je, mimi niko katika kundi gani? Je, moyo wangu ni mgumu kama udongo wa njia, halafu ni rahisi kwa Shetani kuliondoa lile neno tena? Je, moyo wangu ni mzuri kwa juujuu tu lakini kwa chini zaidi kuna ugumu kama mwamba? Je, moyo wangu umegawanyika, nikiwa namtaka Yesu na pia nataka dunia hii? Sote tumwombe Mungu aifanye mioyo yetu iwe kama ule udongo mzuri!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 07/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Recovering Hope: A 5-Day Devotional on the Intersection of Race, Mental Health, and Faith

Destined for the Cross

Overcoming Fear

Holy Week

Pray Like the Bible

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

Awakening Faith: Hope From the Global Church

You Say You Believe, but Do You Obey?

Rebuilt Faith
