Hadithi ya Pasaka: Kuchunguza Kifo na Ufufuo wa Yesuគំរូ

Hadithi ya Pasaka: Kuchunguza Kifo na Ufufuo wa Yesu

ថ្ងៃទី 11 ក្នុងចំណោម 16 ថ្ងៃ

Yesu Msalabani

Askari wamdihaki Yesu akiwa msalabani, na mhalifu mmoja aongea na Yesu.

Swali 1: Ni siku gani maana halisi ya kifo cha Yesu ilianza kuwa na maana kwako?

Swali 2: Ni ukweli gani unayopata kwenye maneno ya kuhani mkuu, “Aliokoa wengine, lakini

hawezi kujiokoa?”

Swali 3: Mwanafunzi wa pekee pale msalabani alikuwa Yohana. Wengine walikuwa wametoroka

kuokoa maisha yao. Unadhani wewe ungekuwa wapi siku hiyo na kwa nini?

អំពី​គម្រោងអាន​នេះ

Hadithi ya Pasaka: Kuchunguza Kifo na Ufufuo wa Yesu

Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More