Mbazi za YesuMfano

MFARISAYO NA MTOZAUSHURU
Ysu anatupa changamoto tena tuulize ni wapi tunapata uhakikisho wa wema wetu--Ni Kristo ama kujizuia?
Ni muhimu kukumbuka kwamba matendo yetu ni muhimu, na kuishi kama Mungu apendavyo wala si katika fikra zetu pekee, ni kitu ambacho mfuasi wa Mungu anafaa kuzidi kujaribu kufanya, na huu mchakato unaitwa utakaso. Lakini, matendo yetu hayatuokoi; yanafaa kufanywa kwa sababu tumeokoka. Uhakikisho wetu si kwamba matendo yetu yatatuokoa bali ni katika Yesu pekee. Matendo yetu mapya ni kutokana na upendo na msamaha ambao hatukustahili kupewa, si ili Yesu atupe upendo wake au azidi kutupenda.
Unapokuja kwa Kristo leo, unakuja ukijigamba jinsi ulivyofuata sheria, ama katika unyenyekevu kwani huwezi kuwa mwema bila Kristo? Nafsi yako inajivunia matendo yako mema, ama inanyenyekea kwa sababu ya upendo wa Kristo ambao unashinda kushindwa kwako ili kukupenda na kukupatanisha naye?

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!
More
We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/