Mbazi za YesuMfano

MJANE ASIYE KATA TAMAA NA HAKIMU MJEURI
Mstari wa kwanza unatupa funzo kuu la mbazi hii: omba kila wakati na usikate tamaa!
Katika dunia hii ambayo tunatarajia kupata kila kitu wakati huo huo, tunaweza kufa moyo Mungu asipojibu maombi yetu wakati huo huo na katika muda tunayotarajia. Hata hivyo, tusikate tamaa, bali tuendelee kumlilia!
Aidha, tuweke imani katika haki ya Mungu. Ikiwa hata hakimu mjeuri anampa haki yake mwishowe, hakika Mungu mwema atafanya zaidi na kukupa haki daima?
Usikate tamaa usipoona vitu vikitendeka katika wakati unaotarajia; endelea kuomba na kuweka imani yako katika wema wa Mungu!

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!
More
We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/