Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 01/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 01/2024

SIKU 1 YA 31

Heri ya mwaka mpya! Mwaka mpya ni nafasi nyingine mpya ambayo Mungu anatupa sisi watu wake ili tupokee baraka, amani na furaha, na kuwa tayari kumtumikia mwaka mzima. Hayo yote yafungamana na jina la Yesu! Linamtambulisha huyu aliyezaliwa kuwa ni mwokozi wa ulimwengu, kama malaika alivyotangaza,Leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana(Lk 2:11). Tafakari kwa makini unapoanza mwaka mpya. Anza yote mwaka huu katika jina la Yesu lenye mamlaka ya kutiisha na nguvu ya kuokoa (Mdo 4:12,Hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo). Kwa kuwaYesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele(Ebr 13:8).

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 01/2024

Soma Biblia Kila Siku 01/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu ch...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

Mipangilio yanayo husiana

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha