Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 24 YA 30

Tunapenda kuficha dhambi zetu. Tabia hiyo inatuzuia tusipate nafasi ya kujifunza kutokana na uovu uliopita. Tena inaharibu uhusiano wetu na Mungu tusipate msamaha:Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu(1 Yoh 1:8-10). Kila mtu anafanya makosa na dhambi. Mtu wa Mungu anaziungama. Ulimwengu unawashangaa wale walio jasiri katika kutaja na kuungama dhambi zao waziwazi na hadharani. Mgeukie Mungu na utubu. Tafakari kwamba maana ya “kutubu” nikuziungamanakuziachadhambi (m.13).

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha