Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 27 YA 30

Mungu anawapenda watu wote, wema na waovu, maskini na matajiri, kwamba wakutanishwe katika Neno lake lililo hekima yake. Hekima hii ni Kristo. Uovu ulioko sasa unatokana na ukweli huu kwamba watawala na raia hawamtegemei Mungu. Kumbuka kwamba kiongozi anayeongoza watu kwa haki huzawadiwa miaka mingi kuliko aliye katili na dhalimu:Mfalme awahukumuye maskini kwa uaminifu, kiti chake cha enzi kitathibitika milele(m.14). Usiitumie nafasi uliyo nayo katika kunyanyasa wengine. Kuwapenda na kuwatendea haki watu ni pamoja na kuwaonya pia:Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; bali yeye ampendaye humrudi mapema(Mit 13:24).

siku 26siku 28

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha