Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Oktoba/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Oktoba/2022

SIKU 31 YA 31

Viumbe vyote vya ulimwenguni vinaonyesha utukufu wa Mungu. Vinamjulisha mwanadamu kuwa kuna Mungu. Vinamjulisha na kumfundisha tabia yake. Hata mwanadamu amepewa ufahamu zaidi, kwani tumepewa Neno la Mungu lililoandikwa. Neno hilo ni ufunuo wa Mungu unaoaminika, ambalo humpa mtu anayelipokea kwa imani maisha mapya. Latuonya dhambi zetu na kututakasa. Hiyo ni sababu ya swali na ombi katika m.12: Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri. Neno la Mungu linapofanya kazi namna hiyo ndani ya maisha yetu, linaifurahisha mioyo yetu, na tunapendezwa na yanayompendeza Mungu wetu tukiomba, Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, Mwamba wangu, na mwokozi wangu (m.14).

siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Oktoba/2022

Soma Biblia Kila Siku Oktoba/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma k...

More

http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha