Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 18 YA 31

Tumezoea kusema Yesu anaweza yote. Lakini leo Yesu anatuambia jambo ambalo hawezi. Unajua ni nini hilo? Rudia kusoma m.19! Yesu hakupunguza wala kuongeza wala kubadilisha lolote aliloliona kwa Baba yake anayempenda. Kwa hiyo amemfunua Mungu kikamilifu kwetu. Tafakari zaidi m.24-25. Tusipomwamini Yesu tu wafu kwa Mungu. Lakini sauti ya Yesu inatuhuisha tukiyapokea maneno yake kwa imani. Tunapewa uhusiano mema na Mungu. Ndio uzima usiokoma. Hata kifo cha kimwili hakiwezi kuukomesha.

Andiko

siku 17siku 19

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha