Zaburi 18:2-3
Zaburi 18:2-3 SRUV
BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu. Namwita BWANA astahiliye kusifiwa, Hivyo nitaokoka na adui zangu.







