Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 18:2-3

Zab 18:2-3 SUV

BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu. Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa, Hivyo nitaokoka na adui zangu.

Soma Zab 18

Picha za Aya za Zab 18:2-3

Zab 18:2-3 - BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu,
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia,
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa,
Hivyo nitaokoka na adui zangu.Zab 18:2-3 - BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu,
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia,
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa,
Hivyo nitaokoka na adui zangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 18:2-3