Zaburi 18:2-3
Zaburi 18:2-3 NENO
BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu; Mungu wangu ni mwamba wangu, ninayemkimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu. Ninamwita BWANA anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.







