Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 21:1-4

Mit 21:1-4 SUV

Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo. Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo. Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka. Macho yenye kiburi, na moyo wa kutakabari, Hata ukulima wa waovu, ni dhambi.

Soma Mit 21

Picha za Aya za Mit 21:1-4

Mit 21:1-4 - Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA;
Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo.
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe;
Bali BWANA huipima mioyo.
Kutenda haki na hukumu
Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.
Macho yenye kiburi, na moyo wa kutakabari,
Hata ukulima wa waovu, ni dhambi.Mit 21:1-4 - Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA;

Hata ukulima wa waovu, ni dhambi.