Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:83-85

Zaburi 119:83-85 NEN

Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako. Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? Wenye majivuno wananichimbia mashimo, kinyume na sheria yako.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha