Soma Biblia Kila Siku 10/2024Sample

Maisha ya utii wa Neno la Mungu yafaa kuliko matoleo ya sadaka tunazotoa. Hizo haziwezi kufidia kutotii kwetu. Tumshukuru Yesu kwamba alikuwa mtiifu maisha yake yote. Hakufanya dhambi, iwapo alijaribiwa kuliko sisi. Yesu alishika mapenzi ya Mungu kwake hata alipokuwa amehukumiwa bila kosa na kupelekwa Golgotha kuangikwa msalabani. Kumbe kulishika Neno unatupa nguvu ya kushinda majaribu. Yesu ametuonyesha njia ya kupita na kupata ushindi. Kwa kuwayeyealishinda, nasi tutashinda.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 10/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania, Kutoka na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Made for More

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

The Family Business: Living Like Jesus. Loving Like Jesus. Leading Like Jesus.

Love People?!

Jesus Is Our "Light of the World"

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Live Your OWN Life With Conviction

Sundays at the Track
