Soma Biblia Kila Siku Januari/2022Sample

Akishatoka Yakobo, akaja Esau kujitambulisha mbele ya baba yake. Ndipo Isaka akatambua wazi kwamba amedanganywa. Ilipoonekana Isaka hana uwezo wa kuifuta tena mbaraka wa Yakobo, Esau akasikitika sana! Isaka akikumbuka ule unabii, alitambua kwamba yaliyotendeka ni mapenzi ya Mungu (ling. 25:23, Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili, na mkubwa atamtumikia mdogo). Kwa hiyo aliogopa kubadilisha tena maneno yake. Mwisho akamhurumia Esau na kumpa maneno, ila si mbaraka (m.39-40; tafsiri ya Biblia Habari Njema ni halisi: Makao yako yatakuwa mbali na ardhi yenye rutuba).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Januari/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa situ husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure.
More
Related Plans

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 13-18)

10 Qualities of Influential Christians

Relationships That Flourish: A 30-Day Devotional on Finding Security in Christ and Growing Healthy Connections

More Than a Dream Coat

Women and Justice

Coming to Life: 30-Day Devotional

In the Mirror of Life: 31 Days of Identity, Purpose, and Gratitude

The Burning Altar - 14 Days of Calling the Church to Pray
