Soma Biblia Kila Siku Januari/2022Sample

Isaka na Rebeka walijua unabii kuhusu wana wao kwamba mdogo atatawala juu ya mkubwa (25:23, Bwana akamwambia [Rebeka], … mkubwa atamtumikia mdogo). Lakini shida yao ilikuwa ni hii: Isaka akampenda Esau, kwa sababu alikula mawindo yake, na Rebeka akampenda Yakobo (25:28, Isaka akampenda Esau, kwa sababu alikula mawindo yake, na Rebeka akampenda Yakobo)! Kwa hiyo Isaka alikusudia kumbariki Esau, lakini Rebeka na Yakobo walimdanganya vibaya sana. Yakobo alifanya uongo mbele ya baba yake, tena kwa kutumia jina la Bwana (m.20, Akasema, … Bwana, Mungu wako, amenifanikisha)! Mikono “yenye malaika” kama ya Esau (m.23), maana yake ni "yenye nywele nyingi" (m.11 na 16 ambapo imeandikwa kwamba Rebeka alimvika Yakobo ngozi za wana-mbuzi ili ngozi yake ifanane na ngozi ya Esau)!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Januari/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa situ husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure.
More
Related Plans

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter

Live Your OWN Life With Conviction

Sundays at the Track

Jesus Is Our "Light of the World"

Made for More

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Love People?!

Move People Through God Alone
