Soma Biblia Kila Siku 09/2020Sample

Rais wa kwanza wa nchi ya Tanzania, hayati Mwalimu J. K. Nyerere alipowahamasisha watu kujiunga na madarasa ya kisomo cha watu wazima alikaza: "Wakati ni huu". Wakati ni jambo la muhimu sana katika hatua zote za maisha ya binadamu. Lakini wakati una mwisho. Kumbuka "Wakati ukuta". Hatari inayotukabili ni kuutumia wakati vibaya na kwa mambo yasiyofaa, na yasiyotupatia faida. Kwa hiyo zingatia wito wa 2 Kor 6:1-3, Msiipokee neema ya Mungu bure.(Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama,wakati uliokubalika ndiyo sasa; tazama siku ya wokovu ni sasa.)Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe.Wakati ni huu wa kumpokea, kumwamini na kumtegemea Yesu Kristo.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 09/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Even in the Shadows: Living With Depression

Marry Me

Deep Roots, Steady Faith

The Invitation of Christmas

Real. Loved. Strengthened: 7 Days With God

Where Are You? A Theology of Suffering

Parenting Through God’s Lens: Seeing Your Child the Way God Does

The Father Lens: Helping Your Kids See Who God Is Through Who You Are

The Single Season
