Soma Biblia Kila Siku 09/2020Sample

Mungu hatutumii sisi (vyombo vya udongo) ili kuonesha thamani ya vyombo vinavyoharibika. Bali anataka kuonesha wokovu usioharibika. Mungu anaishi na kutenda kazi ndani yetu. Tuna thamani kubwa na isiyopimika mbele ya Mungu. Ingawa tunaonekana dhaifu, Mungu ametupa uwakili wa Neno lake. Wajibu wetu ni kumwakilisha Yesu Kristo kwa wengine. Wengine wamwone Yesu Kristo kupitia kwetu. Linganisha na mfano wa Yesu katika Mt 25:31-46, jinsi Mfalme anavyosema, Kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi(m.40), na tena, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi(m.45).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 09/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Shepherds at Christmas

Advent: The Light That Rises in the Darkness

Beyond the Stable: Christ's Mission on Earth

What You Earn Isn't Who You Are

And He Shall Be Called: Advent Devotionals, Week 3

Christmas: The Things We May Have Missed

Love Where You Are

A 5-Day Journey Exploring Moses’ Burning Questions

7 Keys for Spiritual Warfare
