YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 04/2020Sample

Soma Biblia Kila Siku 04/2020

DAY 18 OF 30

Kama rafiki wengine wa Ayubu, pia Bildadi hakuelewa kisa cha mateso ya Ayubu. Anamhukumu kuwa mdhambi kwa mategemeo kwamba Ayubu angetambua dhambi yake na kutubu. Mzaliwa wa kwanza wa mauti (m.13) ni jina la kimfano la ugonjwa mbaya kuliko yote. Bildadi anadokeza Ayubu amepatwa na ugonjwa huu kwa sababu ya uovu wake. Bildadi anafikiria maisha ya duniani akisema mwovu atakimbizwa kutoka mwangani hata gizani (m.18). Tukifikiri juu ya hatima yake ya milele, hiyo ni kweli. Mungu aadhibu uovu.

Scripture

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 04/2020

Soma Biblia Kila Siku 04/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Luka, Zaburi na Ayubu. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kusoma mpango huu

More