Soma Biblia Kila Siku 04/2020Sample

Leo twajifunza sababu muhimu kwa nini Elifazi alimjeruhi Ayubu badala ya kumtuliza. Kuwa mfariji wa kweli ni yule ambaye ameshakutana na majaribu kama alivyokuwa Ayubu. M.5 unabeba ujumbe mzuri sana: Ningewatia nguvu kwa kinywa changu, na utuzo wa midomo yangu ungetuliza. Mfariji mzuri haongei tu bila lengo la kugusa moyo wa anayeumia. Hahukumu, ila hujivisha nafsi ya yule anayeteseka. Hatimaye hutoa msaada wa kweli kutoka uzoefu wake na Neno la Mungu. Ikiwa utalazimika kumtembelea anayeumia kwa sababu yoyote iwapo, fanya hivyo. Utakuwa msaada wenye maana.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 04/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Luka, Zaburi na Ayubu. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kusoma mpango huu
More
Related Plans

Connect With God Through Movement | 7-Day Devotional

Moments of Grace for Sisters | Devotional for Women

Let's Pray About It

God in 60 Seconds: God's Artist Heart

Walk With God: 3 Days of Pilgrimage

Sporting Life - God in 60 Seconds

Psalm 102 - Honest Lament

Fresh Start

Journey Through Kings & Chronicles Part 2
