Mafundisho ya Yesu: Maamuzi yenye Hekima na Baraka Zinazodumuគំរូ

Sifa za Aliyebariki
Yesu afunza umati na wanafunzi wake kuhusu aliye barikiwa.
Swali 1: Kwa nini mafundisho ya heri nane ni ngumu kuelewa?
Swali 2: Elezea wakati ule ambapo ulitumia moja ya Sifa za Heri na ukapokea maishani mwako.
Swali 3: Kikundi chako cha kumfuata Yesu kingelikuaje kama tungeliishi ikiwa mafundisho haya
ni kweli?
អត្ថបទគម្ពីរ
អំពីគម្រោងអាននេះ

Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More