YouVersion Logo
Search Icon

Mt 3:1, 2, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17

Mt 3:1 SUV

Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Uyahudi, na kusema

Mt 3:2 SUV

Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Mt 3:5 SUV

Ndipo walipomwendea Yerusalemu, na Uyahudi wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani

Mt 3:6 SUV

naye akawabatiza katika mto wa Yordani, huku wakiziungama dhambi zao.

Mt 3:8 SUV

Basi zaeni matunda yapasayo toba

Mt 3:13 SUV

Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe.

Mt 3:14 SUV

Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?

Mt 3:17 SUV

na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy