YouVersion Logo
Search Icon

Lk 6:37, 38, 39, 40, 41, 42, 43, 44, 45

Lk 6:37 SUV

Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa.

Lk 6:39 SUV

Akawaambia mithali, Je! Aliye kipofu aweza kuongoza kipofu? Hawatatumbukia shimoni wote wawili?

Lk 6:43 SUV

Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy