1
Yobu 28:28
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Kisha Mungu akamwambia mwanadamu: Sikia! Kumwogopa Bwana ndiyo hekima, na kujitenga na uovu ndiyo maarifa.
Compare
Explore Yobu 28:28
2
Yobu 28:12-13
Lakini hekima itapatikana wapi? Ni pahali gani panapopatikana maarifa? Hakuna mutu anayejua bei ya hekima, wala hekima haipatikani katika inchi ya wanaokuwa wazima.
Explore Yobu 28:12-13
3
Yobu 28:20-21
Basi, hekima inatoka wapi? Ni wapi panapopatikana maarifa? Imefichwa mbali na macho ya viumbe vyote vyenye uzima, na ndege hawawezi kuiona.
Explore Yobu 28:20-21