Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Muhtasari: Warumi 5-16

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 5-16, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha