Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mbazi za YesuMfano

The Parables of Jesus

SIKU 9 YA 36

TAJIRI AJENGA KIHENGE KIKUBWA
Katika kifungu hiki Yesu anafafanua utajiri wa ulimwengu na utajiri wa milele: uhusiano mzuri na Mungu. Wakati mali na utajiri wa muda sio maovu, kuzipata haipaswi kuchukua muda zaidi, nguvu, upendo, na tahadhari kuliko kuendeleza uhusiano wetu na Mungu.

Je, utunzaji wako na wasiwasi wa mali yako ni kubwa zaidi kuliko tamaa yako kwa Mungu? Nini maeneo mengine ya maisha ambayo huvuta upendo wako na makini mbali na Mungu? Hakikisha unatafuta Ufalme wa Mungu juu ya yote mengine!

Kuhusu Mpango huu

The Parables of Jesus

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!

More

We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/