Mtazamo Wa KushukuruMfano

Shukurani kwa sababu ya wengine.
Leo, mfikie mtu aliye maishani mwako na umfahamishe ulivyo na shukurani kwa sababu ya uwepo, msaada na mguso wake sahihi kwako. Anaweza akawa rafiki, mwana familia, mwenzako kikazi, au hata mtu ambaye hujaongea naye kwa muda. Uwe maalum iwezekanavyo.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Kwaresma hii, inakualika uchukue wimbo mwepesi wa shukrani, ili kukiri na kutafakari kuhusu wema wa Mungu. Ukiwa na tendo la makusudi la kila siku, tunatumaini utapalilia moyo wenye shukurani na wimbo utakaodumu hata baada ya kwaresma kumalizika.
More
Tungependa kumshukuru The Salvation Army International kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: sar.my/spirituallife