Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mtazamo Wa KushukuruMfano

Mtazamo Wa Kushukuru

SIKU 5 YA 46

Sabato.

Chukua muda useme asante kwake Mungu kwa wema wake kwako juma hili. Mbele zako shikilia shukurani zote ulizoziandika. Kumbuka mazungumzo uliyozungumza na wengine. Kumbuka Mungu ni nani.

Kuhusu Mpango huu

Mtazamo Wa Kushukuru

Kwaresma hii, inakualika uchukue wimbo mwepesi wa shukrani, ili kukiri na kutafakari kuhusu wema wa Mungu. Ukiwa na tendo la makusudi la kila siku, tunatumaini utapalilia moyo wenye shukurani na wimbo utakaodumu hata baada ya kwaresma kumalizika.

More

Tungependa kumshukuru The Salvation Army International kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: sar.my/spirituallife