Mtazamo Wa KushukuruMfano

Shukurani kwa sababu ya msalaba.
Unapotafakari kuhusu maisha na safari ya Yesu kwenda msalabani katika majira haya ya Kwaresma, chukua mda upige magoti kwa shukurani. Mshukuru Yesu kwa jinsi sadaka yake inavyokugusa ndani.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Kwaresma hii, inakualika uchukue wimbo mwepesi wa shukrani, ili kukiri na kutafakari kuhusu wema wa Mungu. Ukiwa na tendo la makusudi la kila siku, tunatumaini utapalilia moyo wenye shukurani na wimbo utakaodumu hata baada ya kwaresma kumalizika.
More
Tungependa kumshukuru The Salvation Army International kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: sar.my/spirituallife