Mtazamo Wa KushukuruMfano

Jaribu uandishi wa habari.
Leo, tenga dakika chache za kuandika habari.Tafakari kuhusu wakati uliokupa furaha, amani au faraja katika siku nzima iliyopita. Neno la fadhili. kutoka kwa rafiki, kazi uliyoikamilisha, ombi lililojibiwa, kikombe cha chai – andika chini kile ambacho unashukuru na kwanini. Jisomee kile ulichoandika na uone jinsi Mungu alivyokubariki katika njia ndogo za maana.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Kwaresma hii, inakualika uchukue wimbo mwepesi wa shukrani, ili kukiri na kutafakari kuhusu wema wa Mungu. Ukiwa na tendo la makusudi la kila siku, tunatumaini utapalilia moyo wenye shukurani na wimbo utakaodumu hata baada ya kwaresma kumalizika.
More
Tungependa kumshukuru The Salvation Army International kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: sar.my/spirituallife