Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kuongea na Mungu kwa MaombiMfano

Talking With God In Prayer

SIKU 4 YA 4

SHAUKU YA MUNGU





KUOGEA NA MUNGU


Mshukuru Mungu kuwa anakupenda na anataka ujifunze kuongea na yeye kupitia maombi. Muulize Mungu akufundishe jinsi ya kuomba. ⏎ ⏎KUZAMA NDANI ⏎ Tengeneza kadi tatu na uandike maneno yafuatayo: babu, rafiki bora, mchungaji wako, karani wa duka na binamu wa jirani. Eneza kadi chini kuanzia na mtu unayezungumza naye zaidi na kisha mtu unayezungumza naye nadra zaidi ikiwa ya mwisho. Panga seti ya pili kwa njia ile ile, kuanzia na mtu ambaye unataka kuwa karibu naye zaidi ikiwa juu. Lainisha seti ya tatu karibu na zile seti zengine mbili, na mtu ambaye unampeza zaidi juu. Linganisha jinsi orodha zako zinavyolinganaKUZAMA NDANI ⏎ Maombi ni kuzungumza na Mungu, ambaye anakupenda na anakutakia mema. Kama vile unaweza kumpeza mtu unayempenda wakati amekwenda, roho yako inampeza Mungu wakati hutumii muda wako kuzungumza naye. Biblia mara nyingi inasema kwamba hamu hii ya kuwa pamoja na Mungu ni kama kuwa na kiu au njaa. Soma Zaburi 42: 1-2: "Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu Nafis yangu inamuonea kiu Mungu, Mungu aliye hai. Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu? Unaweza kumwendea Mungu kwa maombi na kumpata, kama vile ayala hupata maji katika mto wakati wa kiu.KUONGELESHANA - Unafikiria nini wakati unayo njaa au kiu? ⏎ - Je, ni vipi kuwa na Mungu ni sawa na kuwa na mtu unayempenda? Je! ni tofauti kwa jinsi gani?- Unawezaje kusema kwamba roho yako ina kiu ya kuwa pamoja na Mungu?

Andiko

siku 3

Kuhusu Mpango huu

Talking With God In Prayer

Maisha ya familia, unaweza kuadimika, na tukakosa kupata wakati wakati wa kuomba - wacha hata kukumbuka kuwasaidia watoto wetu kuendeleza tabia ya kumuhusisha Mungu katika siku zao. Katika mpango huu, familia yako itaona...

More

Tungependa kushukuru Focus on the Family kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.FocusontheFamily.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha