Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kuongea na Mungu kwa MaombiMfano

Talking With God In Prayer

SIKU 2 YA 4

KUMSIFU MUNGU KATIKA MAOMBI





KUONGEA NA MUNGU


Msifu Mungu kwa kukuuumba na kwa vyote ulivyonavyo,ikiwemo chakula,makazi na watu wanaokupenda





KUINGIA NDANI ⏎ Fikiria juu ya vitu unavyoshukuru kuhusu. Fanya orodha ya 10 kati yao. Mwambie mtu kwa nini una shukrani kwa kila moja, na umsifu Mungu kwa yote aliyo kupatia.





KUZAMA NDANI

Kupitia matumizi ya maombi ya muda mfupi yanayohusiana na maisha ya kila siku, watu hujifunza kumsifu Mungu na kutoa shukrani. Wakati unapofungua macho yako asubuhi, unaweza kuomba, "Asante Wewe, Mungu, kwa macho yangu. Asante kwa kuona. " Wakati unavaa, unaweza kuomba, "Asante, Mungu, kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu - kunipa nguo za kuvaa, kama hizi," na wakati wa kwanza kuona jua, unaweza kusema, "Mungu, Wewe ni mkuu! Asante kwa uumbaji wako. " Zaburi 145: 1-2 ni mfano mzuri wa jinsi ya kumsifu Mungu: "Nitakuinua, Mungu wangu Mfalme, nami nitalisifu jina lako milele na milele. Kila siku nitakusifu na kutamka jina lako milele na milele. " Msifu Mungu leo na kila siku!



KUONGELESHANA - Je, kuandika orodha ya vitu unayotoa shukurani kuhusu kulibadili vipi mtazamo wako?



- Je, ukimsifu Mungu kwa kila kitu alichokupa, itakuchukua muda gani?- Je, kumsifu Mungu kutakubadilisha kwa njia gani?

Andiko

siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Talking With God In Prayer

Maisha ya familia, unaweza kuadimika, na tukakosa kupata wakati wakati wa kuomba - wacha hata kukumbuka kuwasaidia watoto wetu kuendeleza tabia ya kumuhusisha Mungu katika siku zao. Katika mpango huu, familia yako itaona...

More

Tungependa kushukuru Focus on the Family kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.FocusontheFamily.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha