Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

SIKU 7 YA 31

Tofauti na ilivyokuwa katika somo la jana, pale ambapo Kuhani mkuu alisimama badala ya taifa lote, sasa Mungu anamwelekeza Yoshua mwenyewe kwa huduma yake ya kuwa ishara. Kama yeye na wale watakaomfuata wakimtumikia Mungu kwa uaminifu kwa kutawala na kulinda hekalu lisiingiliwe na imani ngeni, watakuwa mashahidi kuhusu kuja kwa Kristo Yesu, ambaye hapa anaitwa Chipukizi (m.8). Katika siku moja huyu atauondoa uovu wote. Kwake Yesu kuna msamaha wa dhambi zetu na mavazi safi ya wokovu.

siku 6siku 8

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Julai pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

Mipangilio yanayo husiana

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha