Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

SIKU 6 YA 31

Itakuwaje Mungu kukaa kati yao alivyoahidi (2:10, Tazama, ninakuja, nami nitakaa kati yako, asema Bwana), wakati taifa zima la Israeli limekosa? Uovu wao Zekaria anauona kimfano, akiangalia nguo chafu za Yoshua, kuhani mkuu na mwakilishi wao wote. Shetani amejihudhurisha kwenye kesi ili kumshtaki Yoshua. Lakini mteteaji wake yupo pia. Malaika wa Bwana anamwondolea uovu kuhani mkuu, akimvika vazi lisilo na waa badala ya lile chafu. Malaika wa Bwana anatenda kama Yesu aliye kipatanisho kwa dhambi zetu. Mavazi safi yawakilisha utakatifu. Umvae Kristo.

Andiko

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Julai pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha