Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 8 YA 31

Neno la leo ni mwendelezo wa mafundisho ya hali itakavyokuwa siku za mwisho. Hata maeneo ya ibada yatashambuliwa au kuchafuliwa. Dhiki na mateso ya kutisha yatashamiri, na uzushi wa kurudi kwa masihi utasikika. Manabii na Wakristo wa uongo watainuka na kupotosha wengi. Lakini Mungu ashukuriwe! Ameikatisha dhiki ili wateule wake waokoke. Na Yesu ameyabainisha haya kwa sababu ya upendo ili tusiwe gizani. Tafakari matukio yote kwa uelewa utakaokufanya ukeshe kumngoja Bwana atakaporudi.

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wa...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha