Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 9Mfano

Soma Biblia Kila Siku 9

SIKU 11 YA 30

Kabla hajawabariki makabila ya Israeli (kuanzia m.6), Musa anawakumbushia upendo na uhifadhi wake Bwana dhidi yao: Hakika awapenda hayo makabila ya watu; watakatifu wake wote wamo mkononi mwako(m.3a). Wao kipindi hicho walifanya shughuli gani? Jambo moja tu: Nao waliketi miguuni pako; Watapokea kila mmoja katika maneno yako (m.3b). Miguuni pake Mungu! Hapo ndipo mahali pema kwa watu wa Mungu hadi leo. Ndivyo Yesu alivyomshuhudia aliyeketi miguuni pake akilisikiliza neno lake. Martha anahangaika na mengi, ila Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hataondolewa (Lk 10:42).

siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 9

Soma Biblia Kila Siku 9 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kumbukumbu la Torati, Warumi na Mi...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabolimo.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha