Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Yesu Mfalme: Ibada ya Pasaka na Timothy KellerMfano

JESUS THE KING: An Easter Devotional By Timothy Keller

SIKU 4 YA 9

“Kujisimamia Bila Kudai Haki”



Naye akajibu “Naam, Bwana, lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Akamwambia, “Kwa sababu ya neno hilo, enenda zako, pepo amemtoka binti yako.” Akaenda zake nyumbani kwake, akamkuta yule kijana amelazwa kitandani, na yule pepo amekwisha kumtoka.

(Marko 7:28–30)



Kwa kifupi, anasema, "Naam, Bwana, lakini pia vilebu vinakula kutoka kwa meza hiyo, na nipo hapa kupokea yangu." Yesu alimwambia mbazi ambayo ilimpa mwanamke huyo mchanganyiko wa changamoto na toleo, na anielewa. Anajibu changamoto: “Sawa, ninaelewa. Mimi si mwenyeji wa Israeli, siabudu Mungu ambaye wanaisraeli wanaabudu. Kwa hivyo, sina nafasi mezani. Ninakubali haya.”



Maajabu haya! Hakasiriki; hasimamii haki zake. Anasema, “Ni sawa. Yamkini sina nafasi mezani—lakini yaliyo mezani yatosha watu wote ulimwenguni, na ninahitaji changu wakati huu.” Anapingana na Yesu katika namna yaliyo na heshima kuu zaidi na hatakubali jbu la la. Ninapenda afanyacho mwanamke huyu.



Katika utamaduni wa Mashariki hatuna utetezi wa aina hii. Tunatetea haki zetu pekee. Hatujui nji ya kupambana bila kudai haki zetu, kusimamia heshima na wema wetu na kusema, “Hili ndilo deni amablo ninapaswa kupokea.” Lakini mwanamke huyu hafanyi hivyo kabisa. Hili ni kujisimamia bila kudai haki, jambo ambalo twajua kidogo kulihusu. Hasemi, “Bwana, nipe ninachodaiwa kutokana na wema wangu.” Anaema, “Nipe kisichofaa kutokana na wema wako—na ninakihitaji wakati huu.” Unafahamu ajabu ya kwamba anatambua na kukubali changamoto na toleo lililofichwa ndani yake?



Tafsiri njema ya jibu la kirabi la Yesu kwake ni “Jibu la ajabu!” Katika tafsiri nyinginezo Yesu anasema “Jibu zuri sana, jibu bora zaidi.” Kisha ombi lake linajibiwa na binti yake anaponywa.



Je, imani ya mwanamke huyu asiye Myahudi utaathiri vipi namna ambavyo unamkaribia Mungu?



Nukuu kutokwa kwa JESUS THE KING cha Timothy Keller

kuchapishwa kwa mpangilio na Riverhead Books, mshiriki wa kikundi cha Penguin (USA) Kampuni ya Penguin Random House. Haki Miliki © 2011 na Timothy Keller



Na kutoka kwa JESUS THE KING STUDY GUIDE nao Timothy Keller na Spence Shelton, Haki Miliki (c) 2015 na Zondervan, tawi la wachapishaji wa HarperCollins Christian.

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

JESUS THE KING: An Easter Devotional By Timothy Keller

Mwandishi maarufu wa New York Times na mchungaji mashuhuri Timothy Keller anatuletea mfululizo wa vipindi katika maisha ya Yesu kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Marko. Tunapomakinika katika hadithi hizi, anatuletea u...

More

Vifungu kutoka kwa Riverhead Books, mwanachama wa Penguin Random House, Mwongozo kutoka Harper Collins Christian Publishers. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: http://www.penguin.com/book/jesus-the-king-by-timothy-keller/9781594486661 ama http://www.zondervan.com/jesus-the-king-study-guide

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha