Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 4Mfano

Soma Biblia Kila Siku 4

SIKU 9 YA 30

Nyumbani kwa Wamisri wote, mzaliwa wa kwanza aliuawa na Bwana. Kilitokea kilio kikuu katika Misri. Waisraeli walihimizwa kuondoka na wanyama wao, tena waliwateka Wamisri nyara, yaani walipewa vyote walivyoomba kutoka kwa majirani yao. Waliotoka Misri si Waisraeli tu. Kundi kubwa la watu walichangamana nao. Hawakutengwa na Musa, bali waliruhusiwa kusafiri pamoja nao. Hata makanisani mwetu kuna watu waliompokea Kristo na wasiompokea. Ni lazima wote wawe na nafasi ili hata wasiompokea Kristo wampokee!

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 4

Soma Biblia Kila Siku 4 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Kitabu cha Kutoka, na 1 Wathesalonike, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha