Programu ya Biblia ni bure kabisa, haina matangazo na hakuna ununuzi wa ndani ya programu. Pata programu
Uwekezaji Wako Ulio Bora!

5 Siku
Sample Day 1Kupata matunda tele na ya baraka huanzia na kufanya uwekezaji ulio sahihi. Kama wewe ni mkristo mpya, hakuna uwekezaji ulio mkuu zaidi unaoweza kufanya katika imani yako zaidi ya kuingiza ndani yako Neno la Mungu mara kwa mara. Anzia hapa ikusaidie Kusoma, Kuelewa na Kutumia kwa ufanisi kila siku. Imechukuliwa kutoka kitabu kiitwacho, “Nje ya Dunia Hii: Mwongozo wa Kikristo Kwa Ukuaji na Kusudi” na David J. Swandt
Tungependa kuwashukuru Twenty20 Faith, Inc. kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.twenty20faith.org/yvdev2
Related Plans
See All

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA SABA

Kusikia Kutoka Kwa Mungu Kila Asubuhi

Upendo Wa Bure

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Ishi Maisha -Yaliyojaa Kusudi!

Ishi kwa Nguvu na Ujasiri!

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA TISA

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

Mpe Mungu Nafasi ya Kwanza

Kuwa Karibu Na Mungu Kila Siku