Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 13 YA 31

Kila siku maisha yetu yanakabiliwa na kuamua kati ya njia ya wasio haki au njia ya wenye haki (m.6). Angalia matokeo ya mtu kuanza kushauriwa na watu wasio na maisha adili: kwanza anakwendakatika shauri lao akiwaiga, halafu anasimama katika njia yao akiikubali, hatimaye ameketi barazani pao akishauri vibaya kama hao (m.1). Tafuta mwenyewe katika m.3 matokeo ya kuizingatia sheria ya Mungu! Leo tunashauriwa kuchagua kwenda ndani ya mipaka ya mapenzi ya Mungu, ndipo tutastawi katika mambo yote.

Andiko

siku 12siku 14

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha