Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

SIKU 14 YA 30

Ni jambo jema kuwa na macho yetu ya kiroho kujaribiwa na Daktari wa Kiungu, kutazama jinsi anavyorekebisha na kubadilisha mtazmo wetu. Kuna ushahidi mmoja ambao Yesu alituahidi, na zawadi hiyo ni amani yake. Haijalishi hali ni ngumu jinsi gani, manake labda wakati mmoja wa kukutana na Yesu, na hofu itakuondokea, wasiwasi Inakuondokea, shauku inakuondoke, kujihisi mnyonge inakuondokea, na amani yake inawekwa ndani yako, utulivu kamili, kwa sababu ya kile alIchokisema: " Nguvu zote nilipewa.

"O, utimilifu wa amani na furaha tunapoamini kuwa hakuna" kitakachoweza kututenganisha na upendo wa Mungu, ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu. "Maswali ya kutafakari: Je, ni Jinsi gani Mungu ameyajaribu na kuyarekebisha macho yangu ya kiroho? Ni nini nimeweza kutazma vyema zaidi sasa? Ni jinsi gani ufafanuzi umeweza kuondoa mgongano na hofu?

Nukuu zilizochukuliwa kutoka Kwa 'hiyo Nakutuma Wewe' na 'Upendo wa Mungu', © Wachapishaji wa Nyumba ya Discovery
siku 13siku 15

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi ...

More

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha