Methali 22:8-9
Methali 22:8-9 BHN
Apandaye dhuluma atavuna janga; uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa. Mtu mkarimu atabarikiwa, maana chakula chake humgawia maskini.