Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 22:8-9

Mit 22:8-9 SUV

Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma. Mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa; Maana huwapa maskini chakula chake.

Soma Mit 22