Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 22:8-9

Mithali 22:8-9 NENO

Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini.