Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 18:2-3

Methali 18:2-3 BHN

Mpumbavu hapendezwi na busara; kwake cha maana ni maoni yake tu. Ajapo mwovu huja pia dharau; pamoja na aibu huja fedheha.

Soma Methali 18